SWAHILI CHORUS:
G G7/B Am/C C G
Nitai-ngia lango lake na sifa moyo-ni,
G Am G D/F# D
Nitai-ngia kwa sha - ngwe kuu,
G G7/B Am/C C G
Nita-sema ni siku njema, bwana am-ei - fan - ya,
G Em Am/C D7 G
Nitafu-rahi ku-fika mbingu-ni
ENGLISH CHORUS:
G G7/B Am/C G
I will enter his gates with thanksgiving in my heart
G Am G D/F# D
I will enter his courts with praise
G G7/B Am/C C G
I will say this is the day, that the Lord has made
G Em Am/C D7 G
I will rejoice for he has made me glad
VERSE 1:
Wakati nitajikuta, mbinguni kwa Baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Haleluya nitasifu, kufika mbinguni
Hosana! nitaingia kwa shangwe
VERSE 2:
Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu
Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu
Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani
Hosana! nitaingia kwa shangwe