SWAHILI CHORUS: G G7/B Am/C C G Nitai-ngia lango lake na sifa moyo-ni, G Am G D/F# D Nitai-ngia kwa sha - ngwe kuu, G G7/B Am/C C G Nita-sema ni siku njema, bwana am-ei - fan - ya, G Em Am/C D7 G Nitafu-rahi ku-fika mbingu-ni ENGLISH CHORUS: G G7/B Am/C G I will enter his gates with thanksgiving in my heart G Am G D/F# D I will enter his courts with praise G G7/B Am/C C G I will say this is the day, that the Lord has made G Em Am/C D7 G I will rejoice for he has made me glad VERSE 1: Wakati nitajikuta, mbinguni kwa Baba Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha Haleluya nitasifu, kufika mbinguni Hosana! nitaingia kwa shangwe VERSE 2: Nchi nzuri nchi safi, kwa Baba yangu Kuna amani kuna furaha, huko ni kusifu Tutakaa na Mungu wetu, nchi ya amani Hosana! nitaingia kwa shangwe