Mwamba Ulio Pasuka (Rock of Ages, Swahili) by AUGUSTUS TOPLADY & THOMAS HASTINGS
Key:BbBb| Capo:0fr| |
Verse 1:
BbEbBbBbBb
Mwamba uliopasuka, ndani yako nijifiche!
F7BbF7Bb
Maji yale, damu ile, itokayo mbavu zako,
BbEbBbBbBb
iwe dawa ya kuponya roho yangu na ubaya!
Verse 2:
Kazi za mikono yangu, haziwezi kukomboa.
Hata ningelia sana na kutenda kazi nyingi,
singeweza kuokoka, peke yako u Mwokozi.
Verse 3:
Ndani yangu sina kitu, naushika msalaba.
Uchi mimi, univike! Sina nguvu, ‘nichukue!
Ni mchafu, unioshe! Wewe u Mwokozi wangu.
Verse 4:
Kwa maisha yangu yote hata nitatoa roho,
hata saa ya kuitwa mbele ya Mfalme wangu,
mwamba uliopasuka, nijifiche ndani yako!
All songs owned by corresponding publishing company. If you make copies of any song on this website, be sure to report your usage to CCLI.